MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA AFYA MacWish.

  • November 11, 2025

Chuo cha Afya MacWish College kinayo furaha kubwa kuwatangazia Mahafali yake ya kwanza yatakayofanyika Jumamosi tarehe 26/07/2025. Ni tukio la kipekee la kuhitimisha safari ya taaluma kwa wahitimu waliopikwa kwa umahiri,maadili na weledi wa hali ya juu katika sekta ya afya kutoka MacWish College.

Karibu tusherehekee pamoja mafanikio haya ya kihistoria..

EVENT INFO :

  • Start Date:November 11, 2025
  • End Date:November 11, 2025